Viongozi wa UDA Kitui watetea ushirikiano na Serikali ya Kenya Kwanza, wasisitiza maendeleo
KITUI: Viongozi wanaounga mkono Serikali ya Kenya Kwanza wameendelea kutetea ushirikiano na Serikali ya Kitaifa wakisema umechangia kuharakisha maendeleo katika maeneo mbalimbali ya Kaunti ya Kitui kupitia miradi inayotekelezwa chini ya uongozi wa Rais William Ruto. Wakiongozwa na Mbunge wa Kitui Kusini Dkt. Rachael Kaki Nyamai na afisa wa UDA Moses Banda, pamoja na viongozi…
