WASIWASI KUHUSU WATEULE WA IEBC WAZUA GUMZO MPYA
Tetezi zimezuka kuwa watu watano kati ya saba walioteuliwa kusimamia uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027 huenda wakawa na uhusiano wa karibu na Rais William Ruto pamoja na Kiongozi wa ODM Raila Odinga – jambo ambalo linaendelea kuzua gumzo na mjadala mkali miongoni mwa Wakenya. Kiongozi wa chama cha National Liberal Party (NLP), Bw. Muli,…
